Tuesday, 29 October 2013

KUIPENDA KAZI YAKO KUNAIFANYA KUWA NZURI NA YENYE KUVUTIA

Habari wadau wa blog hii, leo nimekuja kivingine kabisa kwa kuwapatia video clip ndogo ya Mc Massanza akiwa ukumbini katika ukumbi wa Lamada. Huko alifanya mambo matam sana na mazuri na kuifanya sherehe hiyo kuonekana kuwa yenye kupendeza kuliko matarajio ya watu walivyo kuwa wakitarajia mambo yote hayo hayapatikani pengine ila ni kwa Mc mahiri kabisa mwenye kuijua kazi yake kuipenda na kuifanya kuwa nzuri si mwingine ila ni Mc Massanza. Mc Massanza anapenda kuwakaribisha wote ili mpate kufanya nae kazi ili aweze kufanya sherehe yako kuwa nzuri na yenye kupendeza...

Thursday, 10 October 2013

CAMERA ZA FAIZ MEDIA (FM) @ WORK


Tukio Hili Lilinaswa na Camera Zetu hivi karibuni katika kijiji cha Mombo -Moshi K'njaro!


LAMADA HOTEL LOCATION

Camera Man wa Faiz media wakiwa location Lamada Hotel
                                                  

SHIKAMOO BIBI!!!


Camera Man wa FM akisalimiana na Bibi Yake -katika kijiji cha ugweno