Wednesday, 31 December 2014

WELCOM NEW YEAR 2015

CREW YA FAIZ MEDIA INAWATAKIA HAPPY NEW YEAR 2015 WADAU WOTE PIA INAWATAKIA MAFANIKIO MWEMA KATIKA MWAKA HUU NAKUENDELEA....

..

Thursday, 11 December 2014





SULEYMAN MASSANZA  na Qaswida yake mpya MASHEKHE




 


ASHA KIVOJA & TAUSNA MASSANZA na kibao chao cha yapasa kuwapa heshima wazazi baba na mama

Friday, 26 September 2014

KUTANA NA MR. AND MRS HILALI KATIKA HARUSI YAO


Bw. na Bi. Hilali katika siku ya sherehe yao ya harusi. Sherehe ambayo ilipendeza saaaana wakiwa na Mc Massanza sambamba kabisa na Crew nzima ya Faiz Media katika swala la production.

Embu usewe ni mwenye kupitwa jionee jipo picha

Thursday, 21 August 2014

SEND OFF YA BI SHANI KIVATWA

Kutana na Bi. Shani Kivatwa kushito akisindikizwa na Bi. Zulpha Power kulia ikiwa ni katika sherehe ya send off ya bi. shani ambayo ilifanyikia katika ukumbi wa Thoflongoi uliopo kimara DSM chini ya master of ceremony (MC) Massanza ikiwa ni katika jukum lake la kuifanya shuhuli kuwa nzuri...

JIONEE PICHA HAPA

Thursday, 24 July 2014

SHEREHE YA HARUSI YA BW. FADHIRI NA BI.AKANASHE AT MASAI CLUB

Sherehe ya Bw. Fadhiri Ng'unda na Bi. Akanashe Swai iliyofanyika Masai Club ilikuwa ni sherehe ya aninayake watu walikula, kunywa, walicheza na kufarahi pamoja na wawili hao walikuwa wakitimiza jambo kubwa na adwim kabisa la ndoa.
Usipitwe na matukio japo kwa uchache upate kujionea mambo yalivyokuwa ndani ya ukumbi kwa kubofaya HAPA

Monday, 14 July 2014

USIKOSE UZINDUZI WA DUNIA - KILIMANJARO !



HODI! HODI! KILIMANJARO ! ! ! EID MOSIIII......!!

''''''MAZAUG WANAKUJA KUANDIKA HISTORIA''''''

KAMPUNI YA FAIZ MEDIA ( www.facebook.com/faizmedia )
IKISHIRIKIANA NA POWER VISION TANZANIA
( www.facebook.com/powervisiontz ) ;

INAKULETEA UZINDUZI WA ALBUM YA QASWIDA ZA ''MAZAUG'' NDANI YA MKOA WA KILIMANJARO, SIKU YA SIKUKUU YA EID MOSI - MWAKA HUU 2014!

UZINDUZI HUU UTAAMBATANA NA BURUDANI KALI YA '''LIVE'' KUTOKA KWA WANA-MAZAUG WOTE::::::

USHAPATA PICHA HAPO??

YAAAAANIIIIIIIIII.................ITAKUWA HIVI;

ZITAIMBWA QASWIDA ZOTE TANO (5) PAMOJA NA KUONESHWA VIDEO ZAKE KWENYE SKRINI KUBWA ZITAKAZOKUWEPO!

PIA KUTAKUWA NA FURSA YA KUPIGA PICHA NA WASANII WA MAZAUG....

KAENI MKAO WA KUBURUDANIKA WAKAZI WA KILIMANJARO (UGWENO), KWANI HII ITAKUWA NI ZAIDI YA HISTORIA ! ! !

ENDELEA KUFUATILIA TAARIFA ZAIDI KUTOKA HAPA KWENYE PAGE YETU TUTAENDELEA KUKUJUZA ZAIDI.............


Friday, 11 July 2014

MJUE FAIZ NA VITU AVIPENDAVYO


Naitwa Fadhili Massanza nina umri wa miaka 29 mzaliwa wa Kilimanjaro Mwanga - Ugweno. mwenyeji wa Dar es saalam - Ilala - Buguruni Mnyamani. 

Napenda sana kufanya shughuli zangu ndogondogo na nnapenda sana kuimba (QASWIDA).

Kusikiliza mambo mbalimbali ya kiuchumi na kidini. 

Napenda sana kuishi na watu wa rika tofauti tofauti na wenye upeo mbalimbali kwani huwa ni mwongozo katika maisha yangu hasa pale ninapojifunza na kuyachukuwa mazuri kutoka kwao. 

Napenda vijana wenzangu hasa wenye hari ya kujituma na kuhangaika kwa ajili ya kesho yao na familia zao.

Napenda kutoa nasaha zangu kwa vijana wote wake kwa waume tujitahidi kupambana vita dhidi ya umaskini na ufukara kwani hata Mungu ametuusia kupambana navyo vyote. 

Hakuna njia yeyote kujikwamua zaidi ya kufanya kazi kwa juhudi na pia kuelekeza nguvu na maombi kwa Mungu pekee katika yote tunayo yafanya kwani
 "Mungu humpa amtakaye bila ya hesabu"


Nawapenda nyote RAMADHAN QAREEM

Tuesday, 24 June 2014

KITCHEN PARTY YA BI. KHAIRIYA

Karibu upate kujione baadhi ya matukio yaliyojiri katika shuhughuli ya Bi. Khairiya iliyofanyika katka ukumbi wa Chuo Cha Bandari TANDIKA - DSM


kwa matukio zaidi BOFYA HAPA

Monday, 26 May 2014

JIONEE MAMBO YA BI. SAIDA KATIKA NDOA YAKE

Ndoa ya Bi. Saida iliyofungiwa nyumbani kwao Tabata na kumalizikia nyumbani kwa Mume Mbezi ilipendeza sana kama wao wenyewe walipendeza  sana Allah awajaalie maisha marefu na kizazi chema...
JIONEE KWA HAPA PICHA ZAIDI

ALLY POWER: KUNA BAADHI YA WASANII WA MAZAUG NIKIFANYA NAO KAZI HUWA NI BURUDAAAAAAAANIII


             

 




 DIRECTOR Na Camera Man Mkuu wa Faiz Media, Ally Power, Amesikika akiwasifia hadharani baadhi ya waimbaji wa kaswida wa kikundi cha MAZAUG kuwa ni rahisi kufanya nao kazi hususan wakati wa kushoot, kwa madai kuwa ni wepesi wa kufuata maelekezo kwa muda mfupi.

 





Akieleza hayo baada ya kumalizika kwa shughuli ya upigaji picha katika moja ya locations jijini DAR,  Director Huyo makini, aliamua kuyatoa ya moyoni na kueleza ni jinsi gani anafurahishwa na umakini unaoonyeshwa na baadhi ya wasanii wa kundi hilo wakati wa zoezi zima la kurekodi.

''Unajua bwana, hakuna kitu kizuri kama kufanya kazi na mtu ambae yupo smart. Mtu mwenye kipaji halisi na mwelewa. Ni raha sana kwa kuwa unaokoa muda na unapata kitu tarajiwa'' alisema Ally Power


Alipoulizwa kwanini anasema hivyo na ni wasanii gani ambao anapata nao urahisi wakiwa locations, bila kumung'unya maneno aliwataja na kuwamwagia sifa kemkem,

''Kuna hawa mabinti wawili kwakweli me huwa naenjoy sana ninapokuwa nao ONSET, Nao ni  
Husna Masanza na Asha Kivoja naskia hata kwenye audio recording pia wako fresh sana, big up kwao, hata kazi zao zinathibitisha haya'' 




















Katika Hatua nyingine, Muongozaji huyo ambae pia ni Editor mzuri wa Videos, amewalalamikia baadhi ya wana-kikundi kwa kile anachodai kuwa hawapo makini na hawazingatii yale anayowaelekeza, hivyo kupelekea kutia ugumu kazi ambayo hulazimika kufanya kwa muda mrefu na kupoteza muda pasipo na sababu za msingi.

 

 Akizidi kufunguka, Ally Power anasema kuna wakati huwa  anapata tabu  na kuchoka kuwapa maelekezo baadhi ya waimbaji kwa kuwa hawako 'serious' na kile wanachokifanya, kitu ambacho anadai huwa kinamkera na kulazimika kufanya kazi kwa msongo 'stress'!


''Inachosha sana kufanya kazi na mtu / watu ambao naweza kusema hawajielewi! Utakuta script ipo wazi, inamwelekeza mtu nafasi yake ya ku-cover, unampa na maelekezo mafupi tu ili kupata picha na tukio zuri, eti mtu anaanza kujichekesha kusiko na msingi na kuleta poz mara sijui jua kali...ooh siwez kusimama muda mrefu...aargh...inaboa '''' Alinukuliwa akilalamika Muongozaji huyo.

 
 
Katika hali ya kushangaza alipoulizwa kwa upande wa wanaume, alijibu kwa ufupi mno, ''Hao hawana matatizo, Wote Ni MAJEMBE''

MOJA YA KAZI ZA FAIZMEDIA PRODUCTION!!!


     
       
     SONG: KISHORLELA

    ARTIST : H KELLY FEAT SHABBYTONE

    DIRECTOR: ALLY POWER / FAIZMEDIA PRO

   STUDIO: KUKAYA RECORDS / DA' HERO ( SNAKE)

Friday, 23 May 2014

Tuesday, 20 May 2014

NDANI YA KITCHEN PARTY YA BI. SAIDA MAMBO YALIKUWA HIVI.....

Ndani ya kitchen party ya Bi. Saida iliyofanyikia katika ukumbi wa Highland jijini dar es salaam sherehe iliyofana sana na yenye kupendeza wakiongozwa na Bi. harusi wetu mtarajiwa Faiz Media tulikuwa nao bega kwa bega kuhakikisha mambo yanakwenda sawiya pa Barakati Kimangele akiwa katika swala zima la Decoration

JIONEE MAMBO YALIVYOKUWA.....

Saturday, 10 May 2014

MAGOGONI MUSLIM GRADUATION

Naam ni siku nyingine tena tukiwa pamoja na Mc Massanza katika kazi ya mahafali ya kuhitim kwa wanachuo wa TPSC (Magogoni) kwa ngazi ya cheti na diploma.

KWA MATUKIO ZAIDI BOFYA HAPA


Friday, 2 May 2014

NDOA YA BI. FADHILA URASA

Ndoa ya Bi. fadhila Urasa iliyofanyikia nyumbani kwao kimara chini ya Faiz Media sherehe ambayo ilipendeza sana na watu wengi walifurahi saaana na ilifana sana.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

Friday, 25 April 2014

KITCHEN PART YA BI. FADHILA URASA ILIFANYIKIA PERFECT VISION

Kitchen part ya Bi. Fadhila Urasa iliyofanyika katika ukumbi wa Perfect Vision uliopo jijini Dar es salaam. Ilikuwa ni yenye kupendaeza sana jionee baadhi ya matukio 

Thursday, 24 April 2014

BI. FADHILA URASA SEND OFF PART

  Sherehe hii ya Send off ya Bi. Fadhila Urasa (kushoto) iliyofanyika katika chini ya Mc mzoefu mwenye kuipenda kazi yake na kuifanya vizuri na kupendeza na watu kufurahi nae si mwingine ni Mc Massanza.

Kwa picha za matukio zaidi BOFYA HAPA

Monday, 14 April 2014

SHEREHE YA BW. BUMBWE NA BI. LATIFA ILIYOFANNYAKIA TANGA

 Sherehe hii ilifanyikia Tanga - Pongwe Chini ya Mc Massanza akiwa pamoja na production yake ama kwa hakika ilikuwa ni yenye kupendeza japo kulikuwa na mvua kiasi ila twamshukuru Allah mambo yote yalikwenda vizuri kwa maharusi wetu pamoja na familia zote mbili.

Kwa Picha Zaidi BOFYA KWA HAPA

Saturday, 12 April 2014

UST. FADHILI MASSANZA LOCATION KWA AJILI YA VIDEO MPYA

UST. FADHILI MASSANZA

Hii ni moja katika kazi mpya za Ust. Fadhili Massanza zinazoandaliwa itakuwa video nzuri na yenye kufundisha hivyo kwa wale washabiki wake mkae mkao wa kupoke kazi yake mpya. Video hii imeanza Dar es salaam kuelekea Tanga.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

Wednesday, 9 April 2014

SASA NI ZAMU YA TANGA

Mc Massanza akiwa pamoja na kampuni yake ya Prodution Faiz Media wanataraji kuanza safari yao kuanza siku ya kesho Alhamisi Tar 09/04/2014 kuelekea Tanga. Tutakuwa huko kwa muda wa siku mbili na kurejea jijini Dar es salaam. Allah jaalia safiri yetu tufike salama na turudi salama IN SHAA ALLAH...

Wanatanga oyeee!!!!!

Friday, 4 April 2014

Thursday, 3 April 2014

SHEREHE YA BW. ALLY NA BI. KHALIMA

Nisherehe iliyofanyika katika ukumbi wa tazara jijini dar es salaam huku sherehe hiyo ikiongozwa na Mc Massanza ambaye ni mahiri na hodari katika uongozaji wa shughuli na kuifanya kuwa ni yenye kupendeza kwa matukio zaidi BOFYA HAPA

Saturday, 29 March 2014

SALEHE DOCUMENTARY CHINI YA FAIZ MEDIA

Hii ni documentary ya Salehe(kemcho) iliyofanywa na kikosi cha Faiz Media kwa kujionea picha zaidi bofya hapa

Wednesday, 26 March 2014

BW. SALEHE NA BI. NEEMA

Bw. na Bi. Salehe Massanza hii ilikuwa siku ya furaha kwa walio wengi. Mc Massanza nae ndani alikuwemo watu walipata burdani nderemo na vifijo kujionea matukio zaidi BOFYA HAPA

Wednesday, 5 March 2014

BW. IDRISA NA BI. MWANTUMU

Bw. & Bi. Idrisa

Siku ya Bw. Idrisa na Bi. Mwantumu ni sherehe iliyofanyika Moshi na kumalizikia huko Usangi kilimanjaro ilikuwa shangwe sanaa. Kwa matuio zaidi BOFYA HAPA

USIKU WA GRAPHICS DESIGNER WA ITV MR. JACKSON SWEBE

Bw. & Bi. Jackson Swebe
Huu ulikuwa usiku wa graphics designer wa ITV usiku uliokuwa wa kihistoria  kwa Mr. & Mrs. Jackson Swebe. Kujionea matukio zaida BOFYA HAPA

USIKU WA BI. KHADIJA CHANDO WA TABATA DAR ES SALAAM

Bi. Khadija Chando































Hii ilikkuwa siku ya kipekee kwa familia ya Chando kwa kumuoza binti yao mpendwa Khadija iliyofanyika Tabata Dar es salaam. Kwa picha zaidi bofya HAPA