Hii ni documentary ya Salehe(kemcho) iliyofanywa na kikosi cha Faiz Media kwa kujionea picha zaidi bofya hapa
Saturday, 29 March 2014
Wednesday, 26 March 2014
BW. SALEHE NA BI. NEEMA
Bw. na Bi. Salehe Massanza hii ilikuwa siku ya furaha kwa walio wengi. Mc Massanza nae ndani alikuwemo watu walipata burdani nderemo na vifijo kujionea matukio zaidi BOFYA HAPA
Wednesday, 5 March 2014
BW. IDRISA NA BI. MWANTUMU
USIKU WA GRAPHICS DESIGNER WA ITV MR. JACKSON SWEBE
Bw. & Bi. Jackson Swebe |
Huu ulikuwa usiku wa graphics designer wa ITV usiku uliokuwa wa kihistoria kwa Mr. & Mrs. Jackson Swebe. Kujionea matukio zaida BOFYA HAPA
USIKU WA BI. KHADIJA CHANDO WA TABATA DAR ES SALAAM
Bi. Khadija Chando |
Hii ilikkuwa siku ya kipekee kwa familia ya Chando kwa kumuoza binti yao mpendwa Khadija iliyofanyika Tabata Dar es salaam. Kwa picha zaidi bofya HAPA
Subscribe to:
Posts (Atom)