Kitchen part ya Bi. Fadhila Urasa iliyofanyika katika ukumbi wa Perfect Vision uliopo jijini Dar es salaam. Ilikuwa ni yenye kupendaeza sana jionee baadhi ya matukio
Sherehe hii ya Send off ya Bi. Fadhila Urasa (kushoto) iliyofanyika katika chini ya Mc mzoefu mwenye kuipenda kazi yake na kuifanya vizuri na kupendeza na watu kufurahi nae si mwingine ni Mc Massanza.
Sherehe hii ilifanyikia Tanga - Pongwe Chini ya Mc Massanza akiwa pamoja na production yake ama kwa hakika ilikuwa ni yenye kupendeza japo kulikuwa na mvua kiasi ila twamshukuru Allah mambo yote yalikwenda vizuri kwa maharusi wetu pamoja na familia zote mbili.
Hii ni moja katika kazi mpya za Ust. Fadhili Massanza zinazoandaliwa itakuwa video nzuri na yenye kufundisha hivyo kwa wale washabiki wake mkae mkao wa kupoke kazi yake mpya. Video hii imeanza Dar es salaam kuelekea Tanga.
Mc Massanza akiwa pamoja na kampuni yake ya Prodution Faiz Media wanataraji kuanza safari yao kuanza siku ya kesho Alhamisi Tar 09/04/2014 kuelekea Tanga. Tutakuwa huko kwa muda wa siku mbili na kurejea jijini Dar es salaam. Allah jaalia safiri yetu tufike salama na turudi salama IN SHAA ALLAH...
Nisherehe iliyofanyika katika ukumbi wa tazara jijini dar es salaam huku sherehe hiyo ikiongozwa na Mc Massanza ambaye ni mahiri na hodari katika uongozaji wa shughuli na kuifanya kuwa ni yenye kupendeza kwa matukio zaidi BOFYA HAPA