Saturday, 19 December 2015

MC MASSANZA AKIWA KAZINI

JIONEE JINSI MC MASSANZA AKIWA KAZINI ANAVYO FANYA KAZI NZURI ILI UPATE KAZI YA YAKO KUWA NZURI BASI FANYA KAZI NA MC MASSANZA



Wednesday, 18 November 2015

Friday, 29 May 2015

KITCHEN PARTY YA MISS REHEMA

Kutana na Miss Rehema katika kitchen Party yake iliyofanywa na Faiz Media Crew.

NDOA YA BW. MUHSINI & BI. REHEMA


Ndoa Bw. Muhsini & Miss Rehema iliyofungwa Mbezi nyumbani kwa Bi. harusi na kumalizikia nyumbani kwao Bw. Harusi. Picha na Video chini ya Faiz Media.

Wednesday, 13 May 2015

USIKU WA ALLY & HUSNA



Usiku wa Ally & Husna uliofanyika katika ukumbi wa Bimerlin Kibaha Pwani ulikuwa usiku wa furaha sana kwa wawili hawa katika kusherehekea siku ya Sherehe yao wakiwa pamoja na ndugu mbalimbali kutoka hapa hapa jijini na wengine kutoka mikoani kuja kujumuika nasi katika sherehe yetu...
Sambamba na Mc Massanza katika kufanikisha sherehe hiyo kuhakikisha hapaharibiki jambo.

Monday, 13 April 2015

SEND OFF PARTY YA BI. HUSNA HUSSEIN MBOWE

Faiz Media Crew katika usiku wa Bi Husna Hussein Mbowe wakifanikisha mambo pamoja na Mc Massanza akisababisha sherehe hiyo kufanya mambo kwenda sawiya kabisa...
Matukio Zaidi Bofya Hapa

Saturday, 31 January 2015

SEND OFF YA BI. NASRA

Bi. Nasra katika tafrija yake ilifanyika kwa ajili ya kumuaga  binti huyu mpendwa katika familia sherehe iliyokuwa imependeza na kuwavutia wengi kwa jinsi ilivyokuwa imependeza na kufana kwa asilimia mia moja.

JIONE KWA KUBOFYA HAPA

Thursday, 15 January 2015

BW. JUMA & BI. TAUSI WEDDING DAY

Kutana na sherehe ya Bw. Juma & Bi. Tausi iliyofanyika dar es salaam chini ya Mc Massanza sherehe ilikuwa imefana na vile veli ilipendeza sana kwa wawili hao kuungana kwa pamoja na kuwa mwili mmoja na kuyaanza maisha yao mapya. Mwenyezi Mungu wajaalie kheri na furaha tele kwa kila mmoja wao.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

Tuesday, 13 January 2015

SEND OFF YA BI. AMINA ABDI

Kutana na Bi. Amina katika send off yake iliyofuatiwa na Ndoa kesho yake iliyofanyika Karatu - Manyara. Ilikuwa sherehe yenye kupendeza na iliyofana sana mjini Karatu chini ya Mc Massanza na Crew yake ya Faiz Media wakifanya kazi nzuri mkoani humu.


Kwa matukio zaidi BOFYA HAPA