Bi. Nasra katika tafrija yake ilifanyika kwa ajili ya kumuaga binti huyu mpendwa katika familia sherehe iliyokuwa imependeza na kuwavutia wengi kwa jinsi ilivyokuwa imependeza na kufana kwa asilimia mia moja.
Kutana na sherehe ya Bw. Juma &Bi. Tausi iliyofanyika dar es salaam chini ya Mc Massanza sherehe ilikuwa imefana na vile veli ilipendeza sana kwa wawili hao kuungana kwa pamoja na kuwa mwili mmoja na kuyaanza maisha yao mapya. Mwenyezi Mungu wajaalie kheri na furaha tele kwa kila mmoja wao.
Kutana na Bi. Amina katika send off yake iliyofuatiwa na Ndoa kesho yake iliyofanyika Karatu - Manyara. Ilikuwa sherehe yenye kupendeza na iliyofana sana mjini Karatu chini ya Mc Massanza na Crew yake ya Faiz Media wakifanya kazi nzuri mkoani humu.