Siku adhwim kabisa kwa Neema ilikuwa sherehe ya kumuaga Bi. Neema huku akijiandaa na harusi siku ya tarehe 21/12/2013 karibuni saaaaaaaana. Jionee picha za tukio hili kwa HAPA
Wednesday, 18 December 2013
MC MASSANZA NDANI YA MUHEZA
Hii ni siku ya furaha kwa wanandoa pamoja na ndugu pia kwake Mc Massanza baada ya kutia kambi ndani ya Muheza Mkoani Tanga kwa kujionea picha za mnato bofya KWA HAPA
Friday, 6 December 2013
Mc Massanza leo alikuwa kifungisha Ndoa ya Jazilah. Ndio iliyokuwa ndogo na yenye kupendeza kabisa chini ya Faiz Media.
Kwa picha za matukio bofya HAPA
Wednesday, 13 November 2013
MC MASSANZA TENA KWA MARA NYINGINE ANAWALETEA HII
Usiku Mwanahamisi na Mohamed uliokuwa usiku ambao Mc Massanza alifanya juhudi kubwa kuhakikisha mambo yanakwenda sawiya! "Ni usiku ambao kwakweli nilitumia nguvu nyingi mno na ufanisi wa hali ya juu kuiboresha shughuli hii kwani ilikuwa ni shughuli ya dada yangu kabisa ambapo nilipendekezwa kuwa Mc ndani ya ukumbi. Sikuwa na maandalizi kabisa lkn nashukuru nililifanikisha vyema na mambo kuwa saafi" Alisema Mc Massanza..
Kwa picha na matukio zaidi bofya HAPA
Wednesday, 6 November 2013
USIKU WA AZIZI NA NANYIKA GURUDUMU HILO LIKIWA CHINI YA MC MASSANZA
Huu ulikuwa usiku mzuri kabisa ambao Mc Massanza alikuwa akifanya mambo matam na yenye kuoendeza kabisa kwa kijionea picha za mnato za shuhuli hii ya Bw. Azizi na Bi Nanyika bonyeza HAPA
Tuesday, 29 October 2013
KUIPENDA KAZI YAKO KUNAIFANYA KUWA NZURI NA YENYE KUVUTIA
Habari wadau wa blog hii, leo nimekuja kivingine kabisa kwa kuwapatia video clip ndogo ya Mc Massanza akiwa ukumbini katika ukumbi wa Lamada. Huko alifanya mambo matam sana na mazuri na kuifanya sherehe hiyo kuonekana kuwa yenye kupendeza kuliko matarajio ya watu walivyo kuwa wakitarajia mambo yote hayo hayapatikani pengine ila ni kwa Mc mahiri kabisa mwenye kuijua kazi yake kuipenda na kuifanya kuwa nzuri si mwingine ila ni Mc Massanza. Mc Massanza anapenda kuwakaribisha wote ili mpate kufanya nae kazi ili aweze kufanya sherehe yako kuwa nzuri na yenye kupendeza...
Friday, 18 October 2013
Thursday, 17 October 2013
Monday, 14 October 2013
Thursday, 10 October 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)