Usiku Mwanahamisi na Mohamed uliokuwa usiku ambao Mc Massanza alifanya juhudi kubwa kuhakikisha mambo yanakwenda sawiya! "Ni usiku ambao kwakweli nilitumia nguvu nyingi mno na ufanisi wa hali ya juu kuiboresha shughuli hii kwani ilikuwa ni shughuli ya dada yangu kabisa ambapo nilipendekezwa kuwa Mc ndani ya ukumbi. Sikuwa na maandalizi kabisa lkn nashukuru nililifanikisha vyema na mambo kuwa saafi" Alisema Mc Massanza..
Kwa picha na matukio zaidi bofya HAPA
No comments:
Post a Comment